Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

Yongpalmuel

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
16
Reaction score
22
Habarini za saiz!?
Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
 
Hakuna kilimo cha maana huko.

Mkoa wa Mara kwa ujumla wake Aridhi yake sio ya rutuba kivile, ina udingo wa kichanga kwa kiasi kikubwa sana ukitoa tu sehemu za Tarime kule ambako wana aridhi yenye rutuba.

Huko Butiama hakuna kilimo cha maana labda Mihogo, viazi, mtama,Ulezi na pamba. Mahindi was ana forece kulima ila aridhi haikubali kabisa.

Mkoa wa Mara kwenye kilimo kuna changamoto sana ule mkoa.
 
Kaka Butiama hatuna zao la biashara. tunalima mazao ya chakula , mihogo, mtama , viazi , mahindi etc
 
Kaka Butiama hatuna zao la biashara. tunalima mazao ya chakula , mihogo, mtama , viazi , mahindi etc
 
Back
Top Bottom