Hakuna kilimo cha maana huko.
Mkoa wa Mara kwa ujumla wake Aridhi yake sio ya rutuba kivile, ina udingo wa kichanga kwa kiasi kikubwa sana ukitoa tu sehemu za Tarime kule ambako wana aridhi yenye rutuba.
Huko Butiama hakuna kilimo cha maana labda Mihogo, viazi, mtama,Ulezi na pamba. Mahindi was ana forece kulima ila aridhi haikubali kabisa.
Mkoa wa Mara kwenye kilimo kuna changamoto sana ule mkoa.