h.imani
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 189
- 94
TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZILIUNGANA ILI IWE TANZANIA, sasa haya yafuatayo yanaashiria hivyo?
Kitendo cha TANGANYIKA kuungana na ZANZIBAR;
Tanganyika haina vitu vifuatavyo;
1. TANGANYIKA HAINA BENDERA INAYOPEPEA KUASHIRIA SIO NCHI
2. TANGANYIKA HAINA WIMBO KUASHIRIA SIO NCHI
3. TANGANYIKA HAINA RAISI KUASHIRIA SIO NCHI
4. TANGANYIKA HAINA BUNGE KUASHIRIA SIO NCHI
5. TANGANYIKA HAINA JESHI KUASHIRIA SIO NCHI
Zanzibar inaendelea kuwa na vitu vifuatavyo;
1. ZANZIBAR INA BENDERA INAYOPEPEA KUASHIRIA NI NCHI
2. ZANZIBAR INA WIMBO KUASHIRIA NI NCHI
3. ZANZIBAR INA RAISI KUASHIRIA NI NCHI
4. ZANZIBAR INA BUNGE KUASHIRIA NI NCHI
5. ZANZIBAR INA JESHI KUASHIRIA NI NCHI
Je! Huu ni muungano wa aina gani? kwanini tusivunje muungano, tuungane upya na kwa masharti mapya? Na kwanini wasikubali tuwe na muungano wa serikali 1 tu kwa maana ya TANZANIA tu. Kama hawataki basi TANGANYIKA YETU IRUDI, KWA MAANA TUWE NA SERIKALI 3? kama hutaki kuaminishwa jambo hili wewe MTANGANYIKA, angalia hasara tunayopata WATANGANYIKA kuwa na muungano huu tulionao sasa;
1. MALI ZOTE zinazo patikana Zanzibar (madini, mafuta, mbuga za wanyamga, mapato n.k) ni mali ya WAZANZIBARI WENYEWE.
2. MALI ZOTE zinazo patikana TANGANYIKA (madini, mafuta, mbuga za wanyamga, mapato n.k) ni mali ya MUUNGANO kwa maana ya TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
3. MTANGANYIKA AKITAKA KWENDA ZANZIBAR lazima awe na passport ya kusafiria, kwakuwa unaenda nchi nyingine ya ZANZIBAR, lakini WAZANZIBARI wana uhuru wa kuja TANGANIKA bila pass ya kusafiria kwakuwa yuko kwenye jamhuri ya muungano wa TANZANIA.
JE! HUU NI MUUNGANO WA AINA GANI JAMANI? NA TUNAPOHITAJI TANGANYIKA YETU MNATUONA SISI WAPUUZI?
MWENYE AKILI TIMAMU KAMA HATAHITAJI TANGANYIKA BASI ATAHITAJI TANZANIA KWA MAANA YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZISITAMBULIKE. ILI TUWE NA SERIKALI MOJA TU BASI.
ASIYEELEWA MAELEZO YOTE HAYA, BASI ANAMTINGIO WA UBONGO (CP) NA AU ANAMATEGE YA AKILI.
Nawasilisha.