Aina ya mwanaume ninayemtaka awe na sifa hizi!

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Hello!
Madada zangu ambao huwa mna aina zenu za wanaume ambao mnataka kuwa nao..

Utaona bidada anataka mwanaume ambae
1. Yupo focused
2. Ana mipango ya maisha
3. Mwenye hofu na Mungu
4. Handsome
5. Asie muongo, mcheshi, mtanashati, mwenye pesa
6. Anaejua thaman ya mwanamke n blah blah Nk.

Sasa tatzo lina kuja kwao wenyewe.. utakuta mwanamke yupo disorganize na mambo yake..
Hana mapenz ya kweli bali ni mtu wa tamaa tamaa, muongo muongo, hana malengo,.

Ana miaka 30 bado hajaolewa na mtu akimtafuta utasikia namba yangu umepata wap!?? Na anakazania swala la namba utafikiri ana umuhimu na hizo namba,,

Wakat mwingne u v got to listen what the guy has to say then chambua chambua maneno yake isikazanie namba umepata wap na kukata simu..

Una taka mwanaume alietulia na msomi wakati wewe la saba B au C.. na huna malengo yoyote unaendeshwa na marafiki zako..

Unataka mwenye hofu na Mungu wakati wewe ni zaidi ya shetani.. hulijui kanis wala msikiti, una matusi na vichambo mtaa mzima wanakuogopa kwa kusuta..

Ushafanya michezo yote ambayo haipendezwi na jamii mpaka wazaz wamekuweka probation mwanaume yeyote akitokea basi anapewa bure..

Kutwa unashinda mitandaoni na magroup kibao ya whatsapp we ndo admin.. mara unauza mikorogo, mara unauza sabuni za kujichubua, vitu vya kuongeza makalio, uchi kuwa mdogo na vitu vya ajabu ajabu..

Dadaangu kumbuka ushazeeka,, ushapigana vita kibao tangu askari wa tanzania wanavaa vikaptura wewe upo.. badili matendo yako, acha vingine vikupite jaman..

Hakuna mwanaume mpumbavu wa kuwa na mtu kama ww.
Utamdanganya mgen na akisoma michezo yako bas umekwisha..

Hii ni kwa wale madada wenye mashauzi wenye majina ya ki celebrity lakin hawana chochote zaidi ya simu zao za mkonon..

Wale wambea wambea na wasio na future wanaodanganya hata vitu vya kipumbavu..

Badiliken la sivyo basi m download wanaume mnao wataka..
 
Yani mkono umeingia wote,alafu kahisi ni kidole...huyo mwanamke sijui yani noma.haha
 
Kweliiiiii....wanachemkaaaa wamotoooo lakini wao K...ndio matatizo
 
A picture= 1000 words,,,ke ana papuchi kubwa jamaa kaingiza mkono wote ke anajua anajua ni kidole kikiwa na pete kumbe ni mkono ukiwa na saa Rolex ya gram 1000...halafu hapo utakuta anakuita we kibamia...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
A picture= 1000 words,,,ke ana papuchi kubwa jamaa kaingiza mkono wote ke anajua anajua ni kidole kikiwa na pete kumbe ni mkono ukiwa na saa Rolex ya gram 1000...halafu hapo utakuta anakuita we kibamia...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hahahahahhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…