Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Weka mm 12 kwenye renta suka tatu tatu! Kwenye nguzo weka mm 10 suka nne nne.Wakuu habarini za kazi, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa
Naombeni msaada kuhusu aina ya ndondo za kutumia kwenye ufungaji wa lenta, nyumba yangu ni kubwa vyumba vitatu, sitting room, dinning room, public toilet, jiko, stoo
Kuna baadhi ya wadau walinishauri niweke mm12 mzunguko wa nje na mm10 mzunguko wa ndani pia kwenye nguzo nisuke tatu (sambusa) mm12 au nne mm10
Naombeni ushauri wenu natambua wapo wazoefu wa masuala ya ujenzi
Asanteni
Aisee..!!Weka mm 12 kwenye renta suka tatu tatu! Kwenye nguzo weka mm 10 suka nne nne.