Aina ya Pikipiki nzuri

SANLG ni imara lkn si hizi za sasa, ukipata toleo la kwanza nunua, kwa sasa hawa jamaa wanauza jina.
 
Nahitaji kuwa na Pikipiki mpya ya kununua kwa ajili ya kutembelea. Hvi ni aina gani nzuri kwa maana ya ubora life span, na bei nafuu kati boxer na SNLG au Pikipiki nyingine (bodaboda)
Kwa kuzingatia hivyo vigezo ulivyotaja

Chukua boxer.

Pia kwa nyongeza Boxer haitumii mafuta sana kama zilivyo pikipiki zingine mfano snlg uliyoitaja, Hapo nimechukulia zote ni cc150.

Kwa kigezo cha bei Boxer si chini ya Milioni 2, wakati snlg waweza kupata kwa 1.6m.

Kama fedha haitoshi kwa boxer, ni vyema ukavuta subira ili uongezee na kuchukua Boxer 150cc
 
Bora uchukue sanya boxer si pikipiki ya kuipigisha jaramba ndugu ile ni luxury ,unless upo sehemu zenye lami tupu mimi ni mzoefu wa biashara hiyo, kw uwezo w kufanya kaz na kubeba mzigo wa maana sanya ipo vizuri au kama alivo sema mdau hapo juu upate sanlg toleo la mwanzo lkn boxer sikushauri aisee ila kama ni town route kwa boxer sawa ila km ni kijiji mkuu achana na boxer.
 

anataka kwa ajili ya kutembelea na sio biashara
 
Umeshawahi kutumia boxer? Nataka kununua ila nahitaji uzoefu kwa hii pikipiki.
 
inategemea na aina ya hiyo pikipiki na matumizi yako, kuna hero down cc 100 na cc 125, cc 100 ni 1.5m na cc 125 ni 1.8milion...
 
Chukua sanya mzee
Kitu cha ukweli alafu bomba mbili kama mark x *****
Speed ya kishada alafu zutu kiduchu au cku mambo magumu unalinywesha hata mtori au mchemsho wa kibororoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…