Aina ya udikteta uliopo Tanzania ni Udikteta wa kichama

Aina ya udikteta uliopo Tanzania ni Udikteta wa kichama

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Katika aina mbalimbali za Udikteta na sifa zake basi nchi ya Tanzania inaangukia katika Udikteta wa chama kama mfano China.

Tanzania haina Udikteta wa mtu mmoja kama Rwanda au Uganda, haina Udikteta wa kijeshi kama Misri,Burkina Faso, haina udikteta wa kifalme au kimalkia, haina udikteta wa kidini

Udikteta uliopo ni wa kichama mabadiliko ya Marais katika chama kile kile ni moja ya usanii wa udikteta wa chama.

Nchi zenye udikteta wa vyama, chama huwa kinakuwa kina nguvu kubwa katika nchi hizo mfano ni Tanzania,China,Vietnam,Cuba
 
Back
Top Bottom