4. Mwanamke asiyeomba hela1. Mke wa mtu
Kuna mstari mwembamba unaotenganisha kifo na mke mtu.
Ukiwa nae ujue parapanda inalipa muda wowote
2. Mwanafunzi
Hapo tunaita kuguswa mamlaka
Jera miaka 30 sio mingi
3 Single mothers
Hawa ni wabinafsi na wana visurani kufa Kwa pressure ni jambo la kufikia
Wengine ongezea....... . . .......
Mkuu emb tupeane uzoefu kidogo, huyo mwanamke ambaye hakuna namna ya kumtoa karibu yako, ndiyo mwanamke wa namna gani huyo?4. Mwanamke anayekusumbua, kukuliza na kukuumiza moyo
5. Mwanamke ambae huna jinsi ya moja kwa moja kumtoa karibu yako anayekung'ang'ania
Sasa uzoefu gani hapo.Mkuu emb tupeane uzoefu kidogo, huyo mwanamke ambaye hakuna namna ya kumtoa karibu yako, ndiyo mwanamke wa namna gani huyo?
Mwanamke aina hiyo anawekwa kwenye kundi la nyara za Taifa na ni kiumbe kilicho katika hatari ya kutoweka duniani!6.Mwanamke mwenye mbususu inayobana sana anaweza fanya ukamwaga uboho (bone marrow)
Nadhani una shida mahala. Hiyo sentensi tunamuongelea mwanamke. Sasa kama hujui muktadha unataka mtu aandike sentensi kamili nadhani una tatizo mkuu. Tuishie hapo.πππ Mkuu kwa hizo sentensi mbili ulizoziandika hapo, yaweza kweli ukawa kwenye mkwamo!
Unamlea mtoto mdogo uliyezaa naye, nadhani sentensi iliyonyooka itakuwa imekaa hivyo!
Sijui liliwezekanaje jambo hili?!
Sisi tunaamini kuwa mwanamke akifikisha miaka 15 anaoleka na sheria za ndoa za Tz zinaruhusu.
Kama umezaa na mwanamke mwenye umri mdogo na amekushinda tabia unashindwaje kumnasua, au unaogopa mkono mrefu wa kisheria?
Dah! Nipo njia panda.
Nikipata mtiririko kamili wa hiyo saga ndiyo ninaweza nikashauri sawa sawa.
Nimeghafirika, naafikiana na kauli yako.Nadhani una shida mahala. Hiyo sentensi tunamuongelea mwanamke. Sasa kama hujui muktadha unataka mtu aandike sentensi kamili nadhani una tatizo mkuu. Tuishie hapo.
Alafu umevamia forum. Nenda kule intelijensia ndio wanaongea lugha zimenyooka.
Kwa mwamkw anaye nuka papuchi hata kusimamisha siwezi namfungulia mlango aondoke.Anaenuka papuchi nae ni hatari mno
hao hata wanazuoni wametuonya sana ni haramuSingle mama ilitakiwa awe no 1