The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Katika uchunguzi wangu kuna kundi la wanawake nimeligundua ni kundi ambalo halitongozeki hata uwe handsome vipi, umjue mungu vipi au uwe gentle kiasi gani.
Wanawake hawa ukikutana nao barabarani usijisumbue kuwapata, ni sahau.
1. Mwanamke Anaeenda kukutana kimapenzi na mwenzi wake
Ukikutana na pisi kali huko imependeza ukaisimamisha kadri uwezavyo haisimami, usijihangaishe maana inaenda location hiyo hamna kitu utaiambia ikuelewe.
2. Mjamzito
Wanawake wajawazito huwa hawatongozeki, hangaika uhangaikavyo utaona anakubania ila ukimpa miezi kadhaa utaona kitumbo kinachomoza. Hawa wanawake akutunuku tu yeye ila siyo sound zako eti ndiyo zisababishe umnase.
3. Mwanamke yuko somewhere anasubiri first date
Washapanga na jamaa yake wakutane mahali, halafu wewe nenda pale jitie gentleman unasogeza kiti ukae meza hiyo hiyo. Asee, anaweza akakutemea mate, hata kama uwe polite vipi atakwambia tu "Excuse me give me a break".
4. Mwanamke katoka geto huko kadundwa na mpenzi wake
Njiani unamuona anatembea zake anarudi kwao/kwake, unaenda unamuita dada dada nyingii kama konda wa mwenge. Asee utapookea kohozi hilo kama sio tusi.
5. Mwanamke alietoka kufumania mwanaume aliyempenda
Yuko njiani anamachungu ya nafsi wewe unamfata, bwana weee usiseme sijakwambia. Au kajiendea bar ameagiza K-Vant zake ajidunge eti unamsogelea unamuomba kampani kitachokukuta usije sema hukuambiwa.
6. Mwanamke aliyetoka ibadani kwa Mwamposa/siku ambayo wamehubiriwa kuhusu uhuni wa wanaume
Jichanganye ukutane naye ujitie samahani dada naomba kuongea na wewe, ndugu yangu utakemewa "Shindwa pepooo". Epuka sana kutongoza wanawake wanaoenda kanisani siku za J2 atleast tongoza J3, J4.
Jumatano usipendelee (kunakuaga na kwenda church), Alhamisi fresh, Ijumaa usijaribu ni siku ya mkesha, kwa hyo mchana wote wanajiandaa kwa ajili ya ibada. Lakni hata upande wa kiislamu Ijumaa siku yao, hvyo kausha.
Mengine ongezeeeni yawezekana nimesahau, ila lipo kundi lisilotongozeka. Ukilivaa hilo hata uwe na PHD ya ushawishi lazima upigwe za uso.
Wanaume mkiyajua haya makundi msilazimishe penzi, piteni hivi mfanye yenu, maana always ushindi na point 3 wanazichukuaga hawa wenzetu.
Endeleeeni,