Aina ya wasomi wetu waliojazana vyuoni

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Msomi Wa Chuo kikuu Hajui kutofautisha Kati ya Boom na mkopo Unaotolewa na HeSLB?

Tunaelekea Wapi Wakuu Kama Taifa Linalojikomboa?

Your browser is not able to display this video.
 
saaa hivyo tu? kuna watu hawajui boom wala mkopo wala maana ya HeLSB lakini kimaisha wamekuacha mbali sana, na tena wanalipa kodi nyingi sana serikalini na wanategemewa na watu na bado unawazidi umri
Mbona Povu Mzee Wangu [emoji3][emoji3][emoji3]... Don't take it serious Mjuba
 
Hata Mimi na digirii yangu sijui tofauti ya mkopo na boom😁😁
 
Mkuu sio yeye tu hata mimi ni mjinga kwa hilo jambo.

Naomba utufafanulie tofauti ya BOOM na hesbl tafadhali

Mkopo = kulipia masomo
Boom = hela ya mahitaji ukiwa shule.
Paka anaitwa nyau na nyau anaitwa paka.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mkopo = kulipia masomo
Boom = hela ya mahitaji ukiwa shule.
Paka anaitwa nyau na nyau anaitwa paka.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwa hiyo boom ni free sio? Kwamba sio sehemu ya mkopo itakayofanyiwa marenesho.
 
saaa hivyo tu? kuna watu hawajui boom wala mkopo wala maana ya HeLSB lakini kimaisha wamekuacha mbali sana, na tena wanalipa kodi nyingi sana serikalini na wanategemewa na watu na bado unawazidi umri
Mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…