Kuna baadhi ya ndugu wakikusaidia kitu kidogo wanaweza kuuchorea tatoo huo msaada iwe ni kukusomesha, kukupa hifadhi, n.k. ukija fanikiwa wanakuwa very demanding uwasaidie, hata uwasaidie mara 10 zaidi.
Siku ukija kukataa utasikia yale maneno "Tulimsaidia huyu". hii hupelekea baadhi ya waliosaidiwa kukaa mbali nao na lawama kwenda kwao kuonekana wanajitenga.
Rafiki mpenda sifa, ni watu ambao wakikusaidia watapenda watangaze hata bila ridhaa yako,
endeleeni ....