Aina za hasira za Wanawake na vituko vyao

Mkuu kuna ambao ukiongeea sana anakuacha anaongea tu apo analala na kukoroma tu apo utashangaa jitu udenda unamtoka kwa usingizi pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko 14


[emoji252] [emoji479]
 

Mimi wangu akikasirika ndo tamu ile napewa yote sikuiyo ni kujishindia biko hata sielewi maana ni maajabu
 
Hahahaha yani mr angu anaweza akuache ndani unaongea akatoka nje anajua tu huwezi ongea mkiwa nje basi yani ilimradi tu usimseme

Sent using Jamii Forums mobile app
Me namfata nje lakini siongei kile(lengo) mpaka turudi ndani,.ila huko nje ataona vituko tuu ambavyo hatakuwa na budi kucheka au kurudi ndani tukamalizane[emoji108][emoji85]
 
Me namfata nje lakini siongei kile(lengo) mpaka turudi ndani,.ila huko nje ataona vituko tuu ambavyo hatakuwa na budi kucheka au kurudi ndani tukamalizane[emoji108][emoji85]
Huyo wangu huwa anacheka anaangalia pembeni tu baadae akiingia ndani ukianza ongea utaongeeea atavua nguo aingie wash room aoge amalize aje akorome kudadadeki kuna wanaume wanaviburii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wangu huwa anacheka anaangalia pembeni tu baadae akiingia ndani ukianza ongea utaongeeea atavua nguo aingie wash room aoge amalize aje akorome kudadadeki kuna wanaume wanaviburii

Sent using Jamii Forums mobile app
Woooii[emoji23][emoji23]me akiingia bafuni namfuata jomoniii...na usiombee awe kanikera na nimemuhamm wooiii...[emoji108][emoji108][emoji108][emoji23]
 
Woooii[emoji23][emoji23]me akiingia bafuni namfuata jomoniii...na usiombee awe kanikera na nimemuhamm wooiii...[emoji108][emoji108][emoji108][emoji23]
[emoji108] [emoji108] [emoji108] hapo si hasira zinaisha jamani na unampa credit za bureee manake mi nikikerwa fresh asee yani hata ham hazipandi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…