Aina za hasira za Wanawake na vituko vyao

Najiona hapo kwenye kundi langu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤸🤸🤸
15: Wakikasirika wanawaita wenzi wao vibamia...
16. Wakikasirika wanawaita wanaume "wanaume wa Dar" (wanawake wa aina hii wako wengi sana hapa JF)
 
Mkuu kuna ambao ukiongeea sana anakuacha anaongea tu apo analala na kukoroma tu apo utashangaa jitu udenda unamtoka kwa usingizi pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo anakua amekuudhi nini kwa mfano?
sababu wanawake wengine bwana anakopa mkopo akwambii
wakija kubeba vitu baada ya kushindwa kulipa ukimuuliza ananuna.
sasa hapo nasisi tuseme pumbavu?
 
Yupo mmoja hivi akiwa na hasira anavizia mda wa kulala anachukua simu na kuchati ilimradi nimsemeshe unachati na nani mda huu na akiona sijamsemesha anatumia plan B anafungulia redio na kuweka mahubiri na anaweka sauti kuubwa kama yoote hivi, Na nikiona tuu kafanya hiv huwa nakuwa mpole nakumwomba tufanye yaishe
 
Hapo anakua amekuudhi nini kwa mfano?
sababu wanawake wengine bwana anakopa mkopo akwambii
wakija kubeba vitu baada ya kushindwa kulipa ukimuuliza ananuna.
sasa hapo nasisi tuseme pumbavu?
Unakuta hata umemdaka Mr na msg ya kuchepuka huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…