josephdeo
Member
- Nov 23, 2015
- 95
- 207
Binadamu ameumbwa na woga, Kila mtu ana hofu na kitu fulani, Hapa chini ni orodha ya aina tofauti tofauti za HOFU (phobia). Ipitie kisha utuambie kama umeipata yako.
. Venustraphobia - Uoga wa wanawake wazuri.
. Achluophobia - Uoga wa giza
. Acrophobia - Uoga wa urefu (heights)
. Aerophobia - Uoga wa kusafiri na ndege
. Algophobia - Uoga wa kupata maumivu/kuumia (pain)
. Agoraphobia - Uoga wa sehemu zilizojaa watu.
. Trypanophobia - Uoga wa sindano.
. Amaxophobia - Uoga wa kuendesha gari.
. Androphobia - Uoga wa wanaume
. Anthrophobia - Uoga wa maua
. Anthropophobia - Uoga wa watu
. Aphenphosmphobia - Uoga wa kushikwa/kuguswa
. Arachnophobia - Uoga wa buibui
. Astraphobia - Uoga wa radi
. Atelophobia -Uoga wa kuharibu kazi
. Atychiphobia - Uoga wa kushindwa (fear to fail)
. Autophobia - Uoga wa kuwa pekeako (alone)
. Bathmophobia - Uoga wa kupanda ngazi au mlima
. Cacophobia - Uoga wa kuwa mbaya (ugliness)
. Cynophobia - Uoga wa mbwa
. Dystychiphobia - Uoga wa ajari
. Elurophobia - Uoga wa paka
. Entomophobia - Uoga wa wadudu
. Gamophobia - Uoga wa ndoa
. Gynophobia - Uoga wa mwanamke
. Glossophobia - Uoga wa kuongea kwenye majukwaa
. Hemophobia - Uoga wa damu
. Hippopotomonstrosesquipedaliophobia - Uoga wa maneno marefu
. Hydrophobia - Uoga wa maji
. Iatrophobia - Uoga wa madaktari
. Mysophobia - Uoga wa uchafu
. Necrophobia - Uoga wa kifo
. Nyctophobia - Uoga wa giza
. Obesophobia - Uoga wa kunenepa
. Ophidiophobia - Uoga wa nyoka
. Philematophobia - Uoga wa kubusiana (fear of kissing)
. Philophobia - Uoga wa mapenzi
.Photophobia - Uoga wa mwanga
. Pteromerhanophobia - Uoga wa kupaa
Wewe ni muhanga wa hofu gani kati ya hizo ambazo zipo hapo. Weka chini kwenye comment.