Nimesoma mahali kuwa TOYOTA ndio kampuni kubwa duniani na tajiri. Nimeona gari ya kwanza ya TOYOTA model AA Sedan ilitengenezwa 1936.
Nimejaribu kukumbuka aina za magari ya TOYOTA nashindwa kujua lipi zuri ila najua yanazidiana. Wajuzi wa magari saidieni kuongeza kwenye list pengine kila moja lina uzuri na ubaya wake mimi naanza:
TOYOTA
RAV4 L. Gari ngumu haili mafuta
Camry
Cressida
Crown
Mark 11
Corrola
Dyna
Stout 2000
Opal
Ongezeeni wengine pichani ni TOYOTA ya kwanza kuundwa