Dodge ni gari zenye nguvu Sana wenyewe marekani wanaita American muscle zimetumika Sana kwenye movies za FAST AND FURIOUS....Hizo ndinga ni ngumu Sana kupinduka
Hata Jeep huzioni mkuu?Zaidi ya Chevrolet, hummer na ford sijaona brand zingine huku tz au wamauzia ulaya gari zao
Inawezekana,ukichechemea hata kama uko mbele anayekimbia atakupita.Af kuna mtu anasema et china itakuja kuikalisha usa kiuchumi...
Akina xzibit.Point USA nyumba Nyingi ndan zinagarage ndan that why mechanics wa Huko very talented
Huko gari ni sehemu ya familiaPoint USA nyumba Nyingi ndan zinagarage ndan that why mechanics wa Huko very talented