proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v
1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka.
2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia kishingo upande.
3.Wenye roho mbaya yaani huyu ni zaidi ya mchawi ukifanya kitu kizuri tu lazima afanye namna kuharibu.
4.Wapenda starehe iliyopitiliza hasa kwenye matumizi ya hela yeye hajali. Wewe usipofuata alivyo anakuona mshamba.
5.Walevi na wazinzi starehe zao kuu ndio hizi yupo radhi akulipie hata mwanamke ambaye ameshapita naye hata kama anajua ni mgonjwa.
6. wenye hamasa ya maendeleo. Hawa wanataka ufanikiwe kama wao hata kukushika mkono wapo teyari.
7.Wafaida tu au tumizi. Yeye anafuraha kutumia vya kwako tu ila vya kwake kuvipata ni kazi, pia wakitumia ni vibaya vibaya hata wakiharibu au kumaliza hawajali kabisa wanoana ni halali. Ogopa sana hawa.
umeshakumbana na marafiki wa aina gani na uliishi nao vipi?