Aina za maumbo ya wanawake na nguo wanazotakiwa kuendana nazo

Aina za maumbo ya wanawake na nguo wanazotakiwa kuendana nazo

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Tuna wakati mgumu kwa wasomi,wabunifu na n.k taifa ili la tanzania watu kujua wao nani.

Leo nimekutana kwenye mtandao ambao unatoa mawazo ya ubunifu kwa kila lanyanja.

Kitu kilicho nifumbua upande wa wauza nguo au wabunifu wa nguo wanashindwa kujua ni nguo gani upande wa wanawake zinaweza kuwafanya maumbo yao yakawa sawa bila kuonesha mazaifu yake.

Wanawake wanamaumbo ambayo ni matano muhimu. Likizidi sana labda litokee ccm maana kuna abunuwasi nyingi sana.
IMG_0732.jpeg
 
Back
Top Bottom