Aina za ndevu kwa wanaume na tabia zao

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
1.Ndevu mzuzu


Ndevu hizi wanazo wanaume wengi wanaoishi uswahilini.
Mara nyingi wenye ndevu hizi hupendelea sana kwenda kwenye "MINUSO" wanakula sana ubwabwa na pia kwenye vijiwe vya kahawa huwakosi.

2.Ndevu mchongoma

Wenye ndevu hizi ni wale walioishi enzi za ukoloni.
Ni wakali san kwenye familia zao ,hasa kwa mabinti na wanapatikana sana maeneo ya ushuani.
Wanapenda kufuga mbwa na getini wanaandika "Kuna mbwa wakali"(Huyu baba angu kabisa)

3.Ndevu mviringo

Kwa jina lingine zinajulikana kam "O".
Wenye ndevu hizo wana bahat sana ya kupendw na "Mademu"
Wengi wao wanapatikana Dar Na kilimanjaro.

4.Ndevu kauzu

Wenye ndevu hizi wanajifanya kila kitu wanakijua .
Wanapenda sana mademu.
Na ni rahisi sana kufumaniwa .
Watu wa simiyu wanasifika san kwa kuzifuga.(Hawa wapo wengi jf wakiongozwa na Kaka angu Gudume)

Demiss(Cha mdeko)
 
Duuhh kweli asee hizo ndevu za juu kbs km ustaaz tito
 
Umenivunjia heshima pale namba 1. Mimi sio mpenzi wa ubwabwa ila naipenda gahwa sana
 
#3 pencil line moustache. Ungeongezea na sharafa kidogo.
Wanapendwa na totoz kwa SBB
1: Hukoleza mvuto
2: wanazitunza( smartness)
3: Wakati wa denda warembo huzinyonya! [emoji182] [emoji182] [emoji182]
 
#3 pencil line moustache. Ungeongezea na sharafa kidogo.
Wanapendwa na totoz kwa SBB
1: Hukoleza mvuto
2: wanazitunza( smartness)
3: Wakati wa denda warembo huzinyonya! [emoji182] [emoji182] [emoji182]
Nitaedt usjali
 
Kama unatokea dem ambaye baba yake ana ndevu mchongoma una hali ngumu sana ....hawa wazee wako kama hitler na misimamo yao ni zaidi ya mwl nyerere ya ujamaa
 
Ambao hatuna jee? mnatusaidiaje eti tuwe hata kwenye group la vipala empty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…