Aina za pilau

Aina za pilau

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Leo tuangalie aina tatu za pilau
1. pilau mjazo: hii ni pilau yenye wingi wa nyama haina haja ya kuvaa miwani kutafuta nyama pilau imejazwa nyama kuliko mchele, pilau ya hivi utaikuta ushuwani tu

2. pilau msoto: hii ni pilau yenye mchele mwingi kuliko nyama itakubidi uunde tume ili kutafuta nyama pilau ya namna hii inapatikana kwa watu wenye maisha ya kati

3. pilau nuksi: pilau hii kwanza inapatika kwa watu wenye kipato cha chini kabisa, pili pilau hii ina mchele wa kushiba na wingi wa viazi kama tuko mbeya vile kachumbari ya kumwaga na mchuzi wa kutoshaaaa wa nyanya za masalo

Back Again
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
Kuna aina kasahau, pilau Makinikia, ni aina nyingine ya pilau yenye Nyama chache yaani za kutafuta
 
Mpost pumba umerudi...pilau bubu vipi umeisahau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimerudi tena baada ya mfungo bana.

ukiwa ndani ya swaum kuongopa hata kwa uongo haipendezi kwa mungu...tuko pamoja
 
Back
Top Bottom