Younguther
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 243
- 483
Naelewa kiongozi🙏, ila hata hapa najua kuna wajuzi wa haya mambo na ninaweza kupata msaada zaidi kuliko hizo forum zingne.Ingia google mzee au youtube utapata maujuzi kibao na taarifa zaidi
Cc Smart911 silver spoon born and raised.Habari za wakati wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4.
Ps4 slim, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped. Nahitaji kufungua biashara ya playstation hivi karibuni, mnanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
Naam tuwasubiri waje Chief-MkwawaNgoja waje hapa nami nifaidike
Nimekuelewa nilitaka tu upate msaada wa haraka lakini kama utasibiri wadau sawa.Naelewa kiongozi🙏, ila hata hapa najua kuna wajuzi wa haya mambo na ninaweza kupat
Ni aina gan za ps4 zinakubali kuwa chipped au zote zina access?Ukitaka u save kwenye kununua magame chukua chipped
Shukrani broh🙏Nimekuelewa nilitaka tu upate msaada wa haraka lakini kama utasibiri wadau sawa.
Sijui maswala yoyote kuhusu gaming lakini chukua link hii, itakuelezea tofauti ya slim na pro (ikiwemo hiyo v9).
Hapo utapata hadi madini mengi zaidi kuliko mistari mnne ya jf.
Kuhusu chipped ni zile zilizochezewa mfumo (jailbroken) na original / unchipped ni zile ambazo firmware yake haijachezewa
🤣🤣🤣Ngoja nikuelezee kwa kiswahili fasaha.
Iko hivi;
Katika zingazinga ya bubundiko(Ps4), ng'ambazi za fipozi zikimkimwa na wangawanga wa jumbali(slim). Chakatoto za kinanda, wingu na masufi zikijipa mwamvuli wa kisungi ndo tunaita chipped. Kwenye Ps Pro: Bukutiko za ngolomana zinambatanisha mng'ambo wa kidigi, huku ng'winyo ikikwenuka kwenye mwamko wa kikumbizi.
Wakati fipozi za kidimbwi zikimekika, ng'onda za chapatala zinapata mwangaza wa balungi(wachezaji wazoefu wanaijua hii). Hivyo basi, tunapoangazia michuzi ya chimbuko, tunakutana na vilio vya mabaka. Kipupwe cha mtazamo huu, kinaleta muangaza wa ncha za miamba, na hivyo kudhihirisha upupu wa kisinga.
Kwa hakika, michezo ya bunguti (cracked) ni ya kutatanisha, lakini yenye kuvutia katika ugumu wake.
Kwamfano ukicheza FIFA ambalo ni cracked, Wangawanga wakicheza na mwangaza, wanatuonesha njia ya kwenda mbele, huku mnyonge wa kitaligofi akibakia gizani, akitafakari mwangaza wa mbali.
Daah hii inchi kila mtu kachanganyikiwaNgoja nikuelezee kwa kiswahili fasaha.

Google, kuna version ya os ndo inaweza kua jailbroken ikizidi juu ya hapo huwezi....ku chip ni upande wa os tu kwahio physically ni ps4 yeyote unaweza kuchip kukubwa kuzingatia os yake iwe ambayo inakubali,,,,,halafu hili neno kuchip naona ni enz hizo za xbox maana ilibidi kufanya hio kazi manually kwenye hardware za console, ila ps mda wote imekua ni ku jailbreak maana una deal na os(software) tu huigusi console upande wowote wa hardwareNi aina gan za ps4 zinakubali kuwa chipped au zote zina access?
Fat na slim ni za mwanzo zinafanana perfomance ila kiumbo kama unavyoona majina yake moja inakuwa nene na kubwa na nyengine inakuwa nyembamba na ndogoHabari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4.
Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped. Nahitaji kufungua biashara ya playstation hivi karibuni, mnanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
Shukran broh🙏Fat na slim ni za mwanzo zinafanana perfomance ila kiumbo kama unavyoona majina yake moja inakuwa nene na kubwa na nyengine inakuwa nyembamba na ndogo
Ps4 pro ilikuja baadae perfomance wise ipo vizuri, ps4 zote zitacheza games sawa ila pro itacheza hizo games kwa quality kubwa.
Mtu anaposema version 9 hii ni version ya mwisho ya ps4 ambayo inachakachulika na kuweka games bure
So ili ps4 iweze kuchipiwa unahitaji hii version
Ps4 iliochipiwa itacheza games bure ila huchezi online, isiochipiwa utanunua games ama account za magumashi ila utacheza online angalia matumizi yako.
P1 broh🙏Google, kuna version ya os ndo inaweza kua jailbroken ikizidi juu ya hapo huwezi....ku chip ni upande wa os tu kwahio physically ni ps4 yeyote unaweza kuchip kukubwa kuzingatia os yake iwe ambayo inakubali,,,,,halafu hili neno kuchip naona ni enz hizo za xbox maana ilibidi kufanya hio kazi manually kwenye hardware za console, ila ps mda wote imekua ni ku jailbreak maana una deal na os(software) tu huigusi console upande wowote wa hardware
Aisee nashukuru broh🙏Ngoja nikupe muongozo kidogo tu maana mi mwenyewe nina Ps4 kwahyo sibahatishi huu ushauri naokupa,
Sifa za Ps4 Flat(FAT) ni kwamba yenyewe inakuwa pana kidogo na ina ngazi ila hii kwa matumizi ya nyumbani inafaa na inakula umeme mdogo, udhaifu wake ni kwamba ikitumika muda mrefu huanza kuleta matatizo ya kuchemka kupitiliza na ikichezewa masaa 7 mfululizo hujizima ghafla.
Pia hizi ni bei rahisi kidogo ila kama unataka kufungua biashara sikushauri ununue hizi maan zikishatumika muda mrefu zinaanza matatizo.
Ps4 Slim hili nalijua nje ndan maana nalimiliki, kiufupi hili linaweza tumika hata miaka na halina tatizo lolote,
kwenye upande wa umeme linatumia unit 1.4 likitumika kwa masaa 6 mfululizo bila kuzima hapo ni kama unachezea kwenye Tv isiyo na 4K HD ila kama utatumia TV ya 4K unit zitazidi kidogo mpaka 2 unit hivi 6/hrs.
Ps4 pro hili ni bomba sana kama unapenda Good and smooth graphic ila ukitaka kulienjoy hili inabidi uwe na TV ya 4K ndo utafaidi hili game tofauti na hapo ina view kama Ps slim na Fat tu, udhaifu wake yenyewe ni kwenye umeme tu hili linakula sana umeme ila kwenye ubora ni zuri sana.
Kuhusu upande wa Chipped na non-chipped kuanzia version 9 linaweza kuwa chipped ila kuanzia version 11 kwenda juu haiwezekani kuwa chipped, kwa ushauri tu nakushauri bora upate lililo chipped maan sio gharama kupata magemu yake ila ukiwa na non chipped game lake moja ni mpka 65k wakati chipped kwa 25k unaweza kupata game.
Ps non chipped uzuri wake ni kwamba utaweza kuingia online na kuangalia hata Netflix na inaingia internet kama Pc tu na kama upo vzuri kifedha unaweza kuwa unadownload magemu mwenyew tu,
Ps chipped hili kinachofanyika ni kuvunja software isiwe na access ya internet yani sawa na kuiondoa kwenye server za internet kwahyo games zake zitaingizwa kwa mfumo kama wa (Apk + obb ya kwenye simu) hasara yake ni kwamba tu hutopata access ya internet na hutoweza kudownlod games online, na pia hutoweza ku update version ya Ps lako kama itatoka.
So kwa upande wangu mimi ninalo (Ps4 Slim non-chipped) ila changamoto nayopata ni kupata games tu maan ni bei ghali kidogo, kila kitu unacheza offline ila ukitaka kucheza na watu wengine Duniani ndo utawasha Data ili ucheze nao,
Kwa ushauri mi nakushauri tu ununue Ps4 slim na hili ndo pendekezo kubwa linalotolewa na watu wengi wenye Ps maan kwanza ni imara unaweza kulitumia miaka na pia linatumia umeme mdogo usinunue Flat(FAT) na kwakuwa unataka kuchezesha pia sikushauri ununue Ps4 pro maana linakula sana umeme, kama una swali niulize.
Vip gharama zake huwa zina range bei gan console+games?Ngoja nikupe muongozo kidogo tu maana mi mwenyewe nina Ps4 kwahyo sibahatishi huu ushauri naokupa,