Aina za uchawi ziko tatu (3)

Aina za uchawi ziko tatu (3)

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
1. Mwanga..

2. Mshirikina

3. Mlogo(mchawi)

• Mwanga_ huyu anawanga usiku (uyu ni msumbufu ila ana lengo la kukuloga sema atakusumbua usiku utolala atakufanyia mauza uza.Mpaka utakoma.

• Mshirikina- Huyu mshirikina (anaenda kwa mganga kutafuta dawa ili afanikishe jambo lake kwa kufosi kama kutafuta pesa za kiganga (shiriki) mbaya sana. Mambo ya kichawi unamshirikisha mungu ni ushirikina.

• Mlogo( huyu anaenda kutafuta dawa na kukuloga ili usifanikiwe kitu fulani huyu ndo mlogo(mchawi) ila kuna wala watu pia. Au nyama za watu hawa wanaitwaje?

•imeandaliwa na kimodomsafi
 
Sawa wachawi wapo ila kiboko yao ni Yesu Kristo!
 
Kuna wachawi ( category inategemea na wapi anapata nguvu zake ). Wapo wanao pata nguvu kwenye maji ( hawa hatari kinoma ), wapo wanaopata nguvu kwenye misitu, wapo wanaopata nguvu kupitia mwezi, wapo wanaopata nguvu kupota nyota na jua, na wapo wanao pata nguvu kupitia anga ( air ) , wapo wanao paga nguvu kwa wenzao, wapo wanao tumi roho flani flani.. zipo category nyingi hao wa marine ni konyo.. unahitaji power kuwadhibiti
 
1. Mwanga..

2. Mshirikina

3. Mlogo(mchawi)

• Mwanga_ huyu anawanga usiku (uyu ni msumbufu ila ana lengo la kukuloga sema atakusumbua usiku utolala atakufanyia mauza uza.Mpaka utakoma.

• Mshirikina- Huyu mshirikina (anaenda kwa mganga kutafuta dawa ili afanikishe jambo lake kwa kufosi kama kutafuta pesa za kiganga (shiriki) mbaya sana. Mambo ya kichawi unamshirikisha mungu ni ushirikina.

• Mlogo( huyu anaenda kutafuta dawa na kukuloga ili usifanikiwe kitu fulani huyu ndo mlogo(mchawi) ila kuna wala watu pia. Au nyama za watu hawa wanaitwaje?

•imeandaliwa na kimodomsafi
Hili skeleton linahitaji nyama nyingi mzee, kua km Rakims basi
 
Back
Top Bottom