1. Mwanga..
2. Mshirikina
3. Mlogo(mchawi)
• Mwanga_ huyu anawanga usiku (uyu ni msumbufu ila ana lengo la kukuloga sema atakusumbua usiku utolala atakufanyia mauza uza.Mpaka utakoma.
• Mshirikina- Huyu mshirikina (anaenda kwa mganga kutafuta dawa ili afanikishe jambo lake kwa kufosi kama kutafuta pesa za kiganga (shiriki) mbaya sana. Mambo ya kichawi unamshirikisha mungu ni ushirikina.
• Mlogo( huyu anaenda kutafuta dawa na kukuloga ili usifanikiwe kitu fulani huyu ndo mlogo(mchawi) ila kuna wala watu pia. Au nyama za watu hawa wanaitwaje?
•imeandaliwa na
kimodomsafi