Pembeni na mbirimbiKitu bada na papa udigoni
huo upo mkuu pia kuna chai ya nazi ni nzuri kuliko ya maziwa ila UJITAHIDIKUFANYA MAZOEZI ULAPO MILO HIYO YA NAZI KUEPUKA PRESHA NA KISUKARI KWAKUA NAZI INA CHOLESTERAL NYINGITembea uya one... “sio nyumba zilizo pandiana hapana ni maghorofa.”
Hivi kumbe kuna Ugali wa nazi ? Yani ugali umepikwa kwa nazi ? Aise ! Jana nili ula huu ugali ...nime amua huu ndio Ugali wangu kwanzia leo labda niende sehemu haupo ila nikiwa kwangu ni ugali nazi tu!
Kama kuna aina nyingine tupeane si mbaya tukipata na shule yake kidogo tu! Manake watu wengi hawapendi ugali labda kwa sababu yaku kinai aina hio hio moja ya DONA au SEMBE au MHOGO.
Karibu!