Aina za Vitambi na Sifa zake

Hapahapa tz ila kwa hapa dar vinapatikana Sana

Keko
Tandale
Magomeni mwembechai
Temeke
Manzese
Sinza uzuri
Mbagala77
Haki nimecheka ee mola nisamehe ukitaka kuona sura za ajabu nenda mitaa hiyo uliyotaja yaani unaweza kutana na katoto ka miaka 5kana sura nguuumu wallah yaani unakapigia hesabu kabisa huyu miaka 15mingi lazima kaje kuliza watu na roba za mbao halafu vindava hivyo kama mtu mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…