Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
- Thread starter
-
- #21
Mwambie kuwa modal (mwembamba) ni uzembe ila kuwa na minyama ni juhudi zetu sisi binadamu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Uuuwii hana jomoniii hata cha kahawa,.mm ndio nnacho ila hakipo kati ya hivyo juu🤓
Sitaki kabisaaa awe na kitambi mambo ya kufeli mission za kitandani siyapendi mimii,.Mwambie kuwa modal (mwembamba) ni uzembe ila kuwa na minyama ni juhudi zetu sisi binadamu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Cha yna2 kipoje mkuu?Mchuchumio kimekaa vizuri kwa kufutia simujanja
Kitambi mchuchumio
Maelezo bila picha hayatoshi mkuuCha Yna2 kitambi muambato
Subiri pichaMaelezo bila picha hayatoshi mkuu
Sijui kwann watu wanapata vitambi
Pm au hapa hapa ??Subiri picha
Wenye vitambi mna kazi...hivi mnajua kuwa mmejaza vinyesi humo tena vingi?Vifuatavyo ni baadhi ya aina za Vitambi
View attachment 1193465View attachment 1193466View attachment 1193467View attachment 1193468View attachment 1193469
Unaweza kuongezea
Cc
yna2
Sakayo
Mother Confessor
General Mangi
AiseeWenye vitambi mna kazi...hivi mnajua kuwa mmejaza vinyesi humo tena vingi?