Ninachojua kuna mifumo mikuu ambayo kila gari linakuwa nayo haijalishi ni gari mpya, ya zamani, au vyovyote vile nayo ni 1. Mfumo wa kuwasha gari (starting system) 2. Mfumo wa kuchaji (charging system) 3. Mfumo wa taa (lighting system) 4. Warning/alert system (dashboard) 5. Auxiliary system (wiper & horn) Inaitwa mifumo mikuu kwa sababu isipofanya kazi ikasababisha ajali au uharibifu gariSamahanini jamani naombeni kujua aina za wiring system kwenye magari
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza vizuri, please endelea kutoa somo....Ninachojua kuna mifumo mikuu ambayo kila gari linakuwa nayo haijalishi ni gari mpya, ya zamani, au vyovyote vile nayo ni 1. Mfumo wa kuwasha gari (starting system) 2. Mfumo wa kuchaji (charging system) 3. Mfumo wa taa (lighting system) 4. Warning/alert system (dashboard) 5. Auxiliary system (wiper & horn) Inaitwa mifumo mikuu kwa sababu isipofanya kazi ikasababisha ajali au uharibifu gari
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kaka ila ila hiyo allert na waring yote inakaa ktk mfumo mmoja unaitwa Accesories na ktk mfumo huu utakutana na Radio,warning lamp/Alert,Tv(kama inayo),sehem ya kuchajia sim kama sijasahau inaitwa sigarate sijui?Ninachojua kuna mifumo mikuu ambayo kila gari linakuwa nayo haijalishi ni gari mpya, ya zamani, au vyovyote vile nayo ni 1. Mfumo wa kuwasha gari (starting system) 2. Mfumo wa kuchaji (charging system) 3. Mfumo wa taa (lighting system) 4. Warning/alert system (dashboard) 5. Auxiliary system (wiper & horn) Inaitwa mifumo mikuu kwa sababu isipofanya kazi ikasababisha ajali au uharibifu gari
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks LEGE upo kidigitali zaidi. Swali kwako tumepata OBDII SCANNER tumeisoma user guide yake lakini magari yote tunayojaribu inaandika LINKING ERROR msaada tunakosea wapiKidigital zaidi utaambiwa hivi.
1.powertrain
2.chasis
3.body
4.network
Hapo umemaliza magari yote duniani.
Pole sana mnakimbilia scanner za bei rahisi na huwa hamsomi maelezo yake..Thanks LEGE upo kidigitali zaidi. Swali kwako tumepata OBDII SCANNER tumeisoma user guide yake lakini magari yote tunayojaribu inaandika LINKING ERROR msaada tunakosea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mnakimbilia scanner za bei rahisi na huwa hamsomi maelezo yake..
Hapo kuna mara mbili yawezekana inasoma gari zinazotumia CAN tuu au hiyo ni ya EOBD tuu.ndio maana inawagomea labda unambie ni scanner ya aina gani
Mnapima gari gani mpaka inagoma.