Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Nimekutumia PMhiyo ni ishara kuwa kwenye mfumo wa SRS air bag kun a mahala kunatatizo mkuu?? so hapo kwa haraka fanya upate fundi akupimie au kama upo dar tutafutane nitakupimia buree kabisa .but kama kuna spare utagaramikia mwenyewe ila ofa ya bure ukija mwenge .ukisha pima ndio unajua tatizo ni nn na kulitibu inakuwaje kama kuna kitu kime kufa unabadili au kama ni fault ya kawaida una futa na maisha yanasonga
Thanx brotatizo litakuwa kwenye steering wheel hapo.kunakuwaga na mkanda wa horn na airbag(spriral cable ya umeme),unaeza kuta una fault,ukifa kabisa hata horn utakuwa hupigi...best solution ni kuubadilisha..nenda garage watakupa solution.
JAWABU MURUA KABISA!!!!!!!! kwingine utapoteza muda buretatizo litakuwa kwenye steering wheel hapo.kunakuwaga na mkanda wa horn na airbag(spriral cable ya umeme),unaeza kuta una fault,ukifa kabisa hata horn utakuwa hupigi...best solution ni kuubadilisha..nenda garage watakupa solution.
Akafanye Diagnosis kwa computer kwanza.. uwezi jua tatizo liko wapiJAWABU MURUA KABISA!!!!!!!! kwingine utapoteza muda bure