profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Picha ukiwa umewasha gari tafadhali.nimeendesha gari kwa takribani saa 1:30,nikapaki kama masaa 2,nikiweka tu funguo na ku turn ufungu mara ya kwanza tu,inawaka taa ya air bag,nikaendesha kama saa moja na nusu na nimepaki home,naomba msaada kuweka kuondoa hiyo taa,nikiwasha gari nayo inawaka,,gari ni TOYOTA NOAH ROAD TOURER 2000,LIGHT ACE,2WD.View attachment 2125095View attachment 2125096View attachment 2125097
nikiwasha gari zinabaki,hiyo ya airbag,brake(abs) na ya mkanda,baada ya hapo inabaki hiyo ya airbag wakati naendesha,,,asubuhi nilipoingiza ufunguo niwashe gari,ukawa mgumu kuzungusha,nikatikisa stering huku nazungusha ufunguo,ikakubali kuwaka,nahisi tatizo lilianzia hapo,,,picha nikiwasha hiyo hapoPicha ukiwa umewasha gari tafadhali.
Huenda hiyo ring inayokaa chini ya usukani imeshakuaga.nikiwasha gari zinabaki,hiyo ya airbag,brake(abs) na ya mkanda,baada ya hapo inabaki hiyo ya airbag wakati naendesha,,,asubuhi nilipoingiza ufunguo niwashe gari,ukawa mgumu kuzungusha,nikatikisa stering huku nazungusha ufunguo,ikakubali kuwaka,nahisi tatizo lilianzia hapo,,,picha nikiwasha hiyo hapoView attachment 2125211