Air Bus Yapata hitilafu: Nani awajibike?

Liacheni shirika letu la Taifa la Ndege; kuna makubwa ambayo hata hayana sababu tena ya kuyasema. Tukubali tu yaishe.
 
Liacheni shirika letu la Taifa la Ndege; kuna makubwa ambayo hata hayana sababu tena ya kuyasema. Tukubali tu yaishe.

kwa hili umekata tamaa mzee? mwisho umekaribia na suluhu itapatikana soon, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Never ever give up.
 
mungu wa mwanakijiji uliokoe shirika hili!!1na dhambi zake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…