Air compressor ( yakujaza upepo pikipiki)

Air compressor ( yakujaza upepo pikipiki)

Jiml

Member
Joined
Jan 4, 2021
Posts
47
Reaction score
57
Habarini wakuu?? Naomba kujua bei ya compressor ya kawaida ya Kujaza upepo ni shilingi ngapi? Dukani?
 
Lita 50 inauzwa 350k nenda kariakoo mwenyewe kama kwa pik pik ila kama unachanganya na gari jitose lita 100 kwa 800 ila inategemea
 
Ahsante Sana mkuu ngoja nifanye hivyo!!
 
Back
Top Bottom