Kaka ndio umemaliza Tangazo?, kaka kama umepata muda wa kuweka hilo tangazo kwa nini hukuweka details za kutosha?
unashindwa kweli kusema ni za iana gani, ziko za uwezo gani? bei gani? na hata kuweka picha pia ni muhimu
Kumbuka hiyo bidhaa unayouza iko kila sehemu, namba peke yake haitoshi, mtu atapiga simu kutokana na kuvutiwa na tangazo lako