Air Condition Kwa Kiswahili sanifu ni Kil...

Air Condition Kwa Kiswahili sanifu ni Kil...

Status
Not open for further replies.

Aloysius

Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
80
Reaction score
9
Kiswahili cha Air Condition ni nini? Maana nishajiuliza ni kileta baridi au?
 
Kiyoyozi ni kitu au kifaa (nomino) = air conditioner

Muuliza swali anataka kujua kuhusu 'air condition', kama nimeelewa swali.
 
Kiyoyozi ni kitu au kifaa (nomino) = air conditioner

Muuliza swali anataka kujua kuhusu 'air condition', kama nimeelewa swali.

Ndugu Gurta umeeleza vyema. Ni air conditioner, na sio "air condition". Ila wa-Tz si unawajua? akishakosea wa kwanza basi na vizazi vinavyokuja vinakosea-hasakiingereza. wewe ingia facebook utakutana na sentensi hizi: "I am afraiding", "I proud", etc. na wote hao wana shahada tena walizosoma kwa kiingereza.
Kwa hiyo:
Tukisema "air condition" tunaweza kuassume alikuwa anamaanisha kitenzi (infinitive verb). Labda tumwambie "kuyoyoza". Na sio yeye wa kwanza kumsikia akiseema hivyo.

Lkn nina uhakika alikuwa anamaanisha "air conditioner"=kiyoyozi.
 
Kuyoyoza kwa kiigereza changu hicho hicho kibovu ningesema :- Air conditioning
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom