Ndugu Gurta umeeleza vyema. Ni air conditioner, na sio "air condition". Ila wa-Tz si unawajua? akishakosea wa kwanza basi na vizazi vinavyokuja vinakosea-hasakiingereza. wewe ingia facebook utakutana na sentensi hizi: "I am afraiding", "I proud", etc. na wote hao wana shahada tena walizosoma kwa kiingereza.
Kwa hiyo:
Tukisema "air condition" tunaweza kuassume alikuwa anamaanisha kitenzi (infinitive verb). Labda tumwambie "kuyoyoza". Na sio yeye wa kwanza kumsikia akiseema hivyo.
Lkn nina uhakika alikuwa anamaanisha "air conditioner"=kiyoyozi.