Inategemea pia unataka kusafiri lini. Hivi sasa ni high season na nauli za ndege ziko juu sana. Qatar Airways ni mojawapo ya Airlines za bei rahisi kwa sasa ni USD 1787 na kuanzia mid September ni USD 1007 kwa one way.
Angalia return kuna ndege kama KLM fair zao ni cheap kwa sasa ukilinganisha na QATAR na EMIRATES katika kipindi hiki cha summer. Ila always kwao return ni cheaper kuliko One way