mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 844
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ni vizuri" sio "Ni fizuri"Ni fizuri ungeweka na ujazo wake, zina bei tofauti tofauti, kutegemeana ujazo au hata kampuni iliyotengeneza.
Mtu akuagizie tu, leta atoe 190,000 siyo ndogo ujue.
Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta ya kula na matatizo ya kiafya yanayotokana na mafuta kama BP sasa tunakuletea kifaa hichi cha kisasa
Kinapika vyakula pasipo kutumia mafuta
-kinaoka kuku
-Samaki
-Chips
-Nyama
-Ndizi
-Kuoka keki na kupasha vyakula
Kinatumia muda mfupi kuivisha chakula na kinatumia umeme kidogo.
Tunapatikana Kimara Dar es Salaam
Dsm utaletewa mpaka ulipo ndipo ulipie/Mkoani utalipia baada ya kupokea.
Bei ni 190,000/=
0765494548View attachment 2398431View attachment 2398429View attachment 2398430
Mhhh hyo beiKutokana na kupanda kwa bei ya mafuta ya kula na matatizo ya kiafya yanayotokana na mafuta kama BP sasa tunakuletea kifaa hiki cha kisasa.
Kinapika vyakula pasipo kutumia mafuta
-kinaoka kuku
-Samaki
-Chips
-Nyama
-Ndizi
-Kuoka keki na kupasha vyakula
Kinatumia muda mfupi kuivisha chakula na kinatumia umeme kidogo.
Tunapatikana Kimara Dar es Salaam
Dsm utaletewa mpaka ulipo ndipo ulipie/Mkoani utalipia baada ya kupokea.
Bei ni 190,000/=
0765494548View attachment 2398431View attachment 2398429View attachment 2398430