Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Huyo kazoea kupanda KIMBINYIKO.Kuna jamaa kasema kuwa eti AIR HOSTESS ni Kama beki tatu wa kwenye ndege [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Ila Ni kweli Sasa air hostess ana tofauti gani na beki tatu maana wote Wana tenga chai na maandaziHuyo kazoea kupanda KIMBINYIKO.
Ulishawaona wale Wa Emirates? Unamfanisha na huyo anayekutengea chai hapo Halmashauri ya Nanyamba?Hahahaha Ila Ni kweli Sasa air hostess ana tofauti gani na beki tatu maana wote Wana tenga chai na maandazi
Au ana tofauti gani na kondakta au utingo
Au kwakuwa wao chombo chao kina paa angani[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti Ni Nini[emoji1787][emoji1787]Ulishawaona wale Wa Emirates? Unamfanisha na huyo anayekutengea chai hapo Halmashauri ya Nanyamba?