Air mail msaada

ibnallys03

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Mimi nina shida kuhusu hii AIRMAIL, Nimetumiwa package kutoka china kwa njia ya AIRMAIL lakini sijui hiyo package ntaipaje itakapofika na sijui itafikia ofisi ya carrier gani. Tafadhali naomba msaada wa mawazo na maelekezo kwa yeyote atakaeweza na mwenye Idea juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…