Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC

THURSDAY OCTOBER 21 2021​

ATCL pic

Summary

  • Another institution named by PAC is the Arusha International Conference Center (AICC).

The citizen pic

By The Citizen Reporter
More by this Author

Dodoma. Air Tanzania Company Limited (ATCL, is among institutions that have been named by the Parliamentary Accounts Committee (PAC) that borrowed Sh896 billion without the approval of the Ministry of Finance and Planning as required by law.

Another institution named by PAC is the Arusha International Conference Center (AICC).
The Vice Chairman of the committee, Mr Japhet Hasunga said this on Thursday, October 21, 2021 during an interview with The Citizen after reviewing the report of the Controller and Auditor General (CAG) for the year 2019/20.

Mr Hasunga said they have also noted the lack of a proper record keeping for the national debt where some debts are either not visible or the records are not accurate.

"All institutions that borrowed money without the ministry’s approval are required to repay the debts because we have identified they were not approved by the Finance and planning ministry,” Mr Hasunga said.
He did not however say when exactly the said monies were borrowed.

In addition, Hasunga said the committee found that the criteria used to assess the sustainability of the debt was well established.
“The government said criteria would change as Tanzania is currently classified as a middle income country,” he said.

It was the same report that identified that Air Tanzania Ltd among the loss making government entities.
During his report presentation at the State House Dodoma, CAG Charles Kichere said one of the loss-making companies that came to the forefront was ATCL, emerging that the carrier has incurred losses worth Sh364 billion in the past 5 years.

CAG Kichere said ATCL flights traveling abroad run the risk of being impounded because of the huge debts and the related interests.

"During the pandemic, many aircraft were parked but ATCL was paying rental fees regardless of whether the aircrafts were not operating due to the Covid 19 challenge. This was due to the lease agreement between Tanzania Government Flights Agency and ATCL. ‘There was no clause in the agreement that says when the aircraft is not functioning we should not pay,”CAG Kichere was quoted.

He said between March and June 2020, ATCL was charged Sh15.4 billion for aircraft rental while they were not providing services and the agency also inherited huge debts with interest.
 
Hiki ndio kilikuwa kichaka cha jiwe na kundi lake kutafuna hela
Mkuu Erythrocyte , comments nyingine ni unajichumia tuu dhambi bure, zile ndege ni za serikali, ATC inakodishiwa tuu, kwa jinsi ATC ilivyo hoi, haiwezekani mfufuzi huyo huyo akaja kuitafuna pesa ya ATC!. Labda ungesema watu wamepiga pesa kwenye manunuzi, but not kwenye matumizi!.
P
 
Halafu kila siku mnasema et wapinzani bado wakati madudu kama haya yanafanywa na CCM miaka nenda miaka rudi.
 
Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip , civic education inahitajika sana ndani ya nchi yetu, jifunze kutenganisha chama na watu, sio kila kinachofanywa na watu ni CCM umefanya!. CCM kama chama kinafanya mambo yake ya chama kama chama kingine chochote cha siasa. Kimetengeneza ilani yake, kikainadi, kikakubaliwa kwa kupewa ridhaa na wananchi hivyo kimeunda serikali kuitekeleza ile ilani. Katika utekelezaji, CCM sio mtekelezaji, CCM ni mtazamaji tuu na sio mtendaji, mtendaji ni serikali na msimamizi ni Bunge. Kukifanyika madudu, anayefanya madudu sio CCM, bali mtekelezaji ambaye ni serikali.
Tenganisha CCM kama chama chenye ilani iliyoshinda na serikali ya CCM inayotekeleza ilani, ni vitu viwili tofauti.

Kwa mawazo kama hayo, Wewe hufai kuwa mwana ccm, Ndani ya CCM hakuna tofauti kati ya chama na Serikali

Kinadharia upo sahihi, Kwenye uwanja wa mapambano na kutekeleza ilani Mkuu wa mkoa, Ras, DED na Wengine wote wapo chini ya mwenyekiti wa CCM Mkoa

Mwenyekiti wa ccm Mkoa akisema wewe mfanyakazi ulieteuliwa na Rais hufai, Unafukuzwa kazi

Ukitaka uwe Mfanyakazi safi mkoani heshimu sana wafanyakazi wa CCM wao ndio kila kitu na wasemaji wa Maendeleo ya Mkoa

Pascal, Mimi ni mwana ccm Nipo ndani ya chama, Ndio maana baadhi ya watu wanadai katiba mpya

Unataka katiba mpya ili udhibiti ccm, Thubutu hatuwezi kukubali kabisa

Unataka katiba mpya ili utenganishe mamlaka ya chama na Serikali, Thubutu hatuwezi kukubali

CCM ndio Mama Samia na Mama Samia ndio Mkuu wa nchi na Mwenyekiti wa chama ccm,

Huwezi tenganisha ccm yetu na Serikali, Wakati wa JK tulipata Taabu kwenye chaguzi sana baada ya kuweka chama nyuma, Makosa aliyarekebisha JPM tena

Utaalamu wako utatuonyesha baadae, Sisi ccm kwanza Halafu Serikali baadae

Bora utukane Serikali kuliko kutukana chama, Chama ndio mahakama, na Bunge

Maamuzi ya chama yana nguvu Mahakamani na Bungeni

Chama kikisema mihimili yote kimya yaani Baridi, Usichezee ccm kabisa
 
This is a mistake!, na hili la kudhani CCM ndie adui mkuu wa nchi yetu ndilo kosa kuu la upinzani Tanzania, kunakofanya Ikulu wataishia kuisikia huku CCM ikitawala milele!. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
P
Paskali badilika mawazo achana na mawazo ya Simba na Yanga au mkiristo na muisilamu, kwenye makundi niliyoyataja wapo wengi sana sana wasiohusika nayo tunaweza kuwaita wapagani. Tumia ujuvi wako na uache kuona asiyeiunga mkono CCM ni mpinzani! Wapo wasilimia kubwa sana wapagani wa siasa.
Makundi unayoyaona yakishabikia CCM uisifuyo wewe kwa ubabe wa kupora madaraka ya kutawala chini ya jeshi la polisi ni wafuata mkumbo kutokana na umasikini walionao. Huku mitaani tunawaona hasa wakina mama wakienda kwenye matawi ya CCM kuulizia kama kuna shughuri wakitegemea ikiwepo watapata chochote.
Nihitimishe kwa kusema CCM inatumia nguvu kubwa sana kupambana na watu ambao tayari wamedhibitiwa na polisi!
 
Siku ukitia akili kichwani ama ukiamua kuacha kujitoa ufahamu ili upate teuzi utaelewa tu. Salary Slip yuko sawa kabisa. Nchi yenye utajiri mkubwa sana wa rasilimali, watu mamilioni, ardhi kubwa na yenye rutuba, vyanzo vya maji vingi, misaada na mikopo ya trillions toka nchi za wafadhili na mashirika ya Kimataifa. Tuna kitu gani cha kujivunia baada ya miaka 60 ya uhuru!? 😳
This is a mistake!, na hili la kudhani CCM ndie adui mkuu wa nchi yetu ndilo kosa kuu la upinzani Tanzania, kunakofanya Ikulu wataishia kuisikia huku CCM ikitawala milele!. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
P
 
Akili kubwa hii 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 Jamaa kaamua kujitoa ufahamu kupita kiasi ili kusifia yasiyostahili kusifiwa hatimaye lumumba wamuone wapenyeze jina lake Ikulu!! Mtu kama huyu hastahili kuitwa mzalendo hata chembe.

Paskali badilika mawazo achana na mawazo ya Simba na Yanga au mkiristo na muisilamu, kwenye makundi niliyoyataja wapo wengi sana sana wasiohusika nayo tunaweza kuwaita wapagani. Tumia ujuvi wako na uache kuona asiyeiunga mkono CCM ni mpinzani! Wapo wasilimia kubwa sana wapagani wa siasa.
Makundi unayoyaona yakishabikia CCM uisifuyo wewe kwa ubabe wa kupora madaraka ya kutawala chini ya jeshi la polisi ni wafuata mkumbo kutokana na umasikini walionao. Huku mitaani tunawaona hasa wakina mama wakienda kwenye matawi ya CCM kuulizia kama kuna shughuri wakitegemea ikiwepo watapata chochote.
Nihitimishe kwa kusema CCM inatumia nguvu kubwa sana kupambana na watu ambao tayari wamedhibitiwa na polisi!
 
Kwenye midege na kulazimisha serikali ifanye biashara tulimpinga JPM, yaani tunaunguza ma trilioni ya pesa kwenye miradi ambayo tumekwisha jaribu huko nyuma na kufeli.

Kurudia kosa ni kosa kubwa, JPM alipotoka mno kwenye hili, na SSH naye anaendelea kushupaza shingo na kununua midege mingine. Tuachane na huu upuuzi, tuache sekta binafsi ifanye biashara.
 
Magufuli alikopa hela kununua ndege bila idhini ya bunge report inasema. Pia tumeendelea kupata hasara kubwa kutoka 60bilioni sasa tunaambiwa hasara ni 150bilioni. Tusingeyajua haya kama Magufuli angekuwepo. Kweli time is the best teller!
Yule Mhandisi Matindi Yupo Wapi Sasa Hivi

Hiki ndio kilikuwa kichaka cha jiwe na kundi lake kutafuna hela

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

And its not ATCL only that was robbed. No sector was left untouched. And who is to bare the load? It's me you and very many future generations to come.

Mkuu Erythrocyte , comments nyingine ni unajichumia tuu dhambi bure, zile ndege ni za serikali, ATC inakodishiwa tuu, kwa jinsi ATC ilivyo hoi, haiwezekani mfufuzi huyo huyo akaja kuitafuna pesa ya ATC!. Labda ungesema watu wamepiga pesa kwenye manunuzi, but not kwenye matumizi!.
P
 
Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip , civic education inahitajika sana ndani ya nchi yetu, jifunze kutenganisha chama na watu, sio kila kinachofanywa na watu ni CCM umefanya!. CCM kama chama kinafanya mambo yake ya chama kama chama kingine chochote cha siasa. Kimetengeneza ilani yake, kikainadi, kikakubaliwa kwa kupewa ridhaa na wananchi hivyo kimeunda serikali kuitekeleza ile ilani. Katika utekelezaji, CCM sio mtekelezaji, CCM ni mtazamaji tuu na sio mtendaji, mtendaji ni serikali na msimamizi ni Bunge. Kukifanyika madudu, anayefanya madudu sio CCM, bali mtekelezaji ambaye ni serikali.
Tenganisha CCM kama chama chenye ilani iliyoshinda na serikali ya CCM inayotekeleza ilani, ni vitu viwili tofauti.
P
duuh!! bebe paasi mhola,umepiga chenga hapo lakini mpira ukapoteza!!!!
 
Back
Top Bottom