Walikuwa watu wa ajabu ambao hawana kiasi licha mali lukuki waliokuwa nazo.Hiki ndio kilikuwa kichaka cha jiwe na kundi lake kutafuna hela
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mkuu Erythrocyte , comments nyingine ni unajichumia tuu dhambi bure, zile ndege ni za serikali, ATC inakodishiwa tuu, kwa jinsi ATC ilivyo hoi, haiwezekani mfufuzi huyo huyo akaja kuitafuna pesa ya ATC!. Labda ungesema watu wamepiga pesa kwenye manunuzi, but not kwenye matumizi!.Hiki ndio kilikuwa kichaka cha jiwe na kundi lake kutafuna hela
Halafu kila siku mnasema et wapinzani bado wakati madudu kama haya yanafanywa na CCM miaka nenda miaka rudi.Mkuu Erythrocyte , comments nyingine ni unajichumia tuu dhambi bure, zile ndege ni za serikali, ATC inakodishiwa tuu, kwa jinsi ATC ilivyo hoi, haiwezekani mfufuzi huyo huyo akaja kuitafuna pesa ya ATC!. Labda ungesema watu wamepiga pesa kwenye manunuzi, but not kwenye matumizi!.
P
Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip , civic education inahitajika sana ndani ya nchi yetu, jifunze kutenganisha chama na watu, sio kila kinachofanywa na watu ni CCM umefanya!. CCM kama chama kinafanya mambo yake ya chama kama chama kingine chochote cha siasa. Kimetengeneza ilani yake, kikainadi, kikakubaliwa kwa kupewa ridhaa na wananchi hivyo kimeunda serikali kuitekeleza ile ilani. Katika utekelezaji, CCM sio mtekelezaji, CCM ni mtazamaji tuu na sio mtendaji, mtendaji ni serikali na msimamizi ni Bunge. Kukifanyika madudu, anayefanya madudu sio CCM, bali mtekelezaji ambaye ni serikali.Halafu kila siku mnasema et wapinzani bado wakati madudu kama haya yanafanywa na CCM miaka nenda miaka rudi.
This is a mistake!, na hili la kudhani CCM ndie adui mkuu wa nchi yetu ndilo kosa kuu la upinzani Tanzania, kunakofanya Ikulu wataishia kuisikia huku CCM ikitawala milele!. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...CCM ni kansa mbaya kwa hii nchi.
Kwa mawazo kama hayo, Wewe hufai kuwa mwana ccm, Ndani ya CCM hakuna tofauti kati ya chama na SerikaliMkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip , civic education inahitajika sana ndani ya nchi yetu, jifunze kutenganisha chama na watu, sio kila kinachofanywa na watu ni CCM umefanya!. CCM kama chama kinafanya mambo yake ya chama kama chama kingine chochote cha siasa. Kimetengeneza ilani yake, kikainadi, kikakubaliwa kwa kupewa ridhaa na wananchi hivyo kimeunda serikali kuitekeleza ile ilani. Katika utekelezaji, CCM sio mtekelezaji, CCM ni mtazamaji tuu na sio mtendaji, mtendaji ni serikali na msimamizi ni Bunge. Kukifanyika madudu, anayefanya madudu sio CCM, bali mtekelezaji ambaye ni serikali.
Tenganisha CCM kama chama chenye ilani iliyoshinda na serikali ya CCM inayotekeleza ilani, ni vitu viwili tofauti.
P
Paskali badilika mawazo achana na mawazo ya Simba na Yanga au mkiristo na muisilamu, kwenye makundi niliyoyataja wapo wengi sana sana wasiohusika nayo tunaweza kuwaita wapagani. Tumia ujuvi wako na uache kuona asiyeiunga mkono CCM ni mpinzani! Wapo wasilimia kubwa sana wapagani wa siasa.This is a mistake!, na hili la kudhani CCM ndie adui mkuu wa nchi yetu ndilo kosa kuu la upinzani Tanzania, kunakofanya Ikulu wataishia kuisikia huku CCM ikitawala milele!. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
P
This is a mistake!, na hili la kudhani CCM ndie adui mkuu wa nchi yetu ndilo kosa kuu la upinzani Tanzania, kunakofanya Ikulu wataishia kuisikia huku CCM ikitawala milele!. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
P
Paskali badilika mawazo achana na mawazo ya Simba na Yanga au mkiristo na muisilamu, kwenye makundi niliyoyataja wapo wengi sana sana wasiohusika nayo tunaweza kuwaita wapagani. Tumia ujuvi wako na uache kuona asiyeiunga mkono CCM ni mpinzani! Wapo wasilimia kubwa sana wapagani wa siasa.
Makundi unayoyaona yakishabikia CCM uisifuyo wewe kwa ubabe wa kupora madaraka ya kutawala chini ya jeshi la polisi ni wafuata mkumbo kutokana na umasikini walionao. Huku mitaani tunawaona hasa wakina mama wakienda kwenye matawi ya CCM kuulizia kama kuna shughuri wakitegemea ikiwepo watapata chochote.
Nihitimishe kwa kusema CCM inatumia nguvu kubwa sana kupambana na watu ambao tayari wamedhibitiwa na polisi!
Yule Mhandisi Matindi Yupo Wapi Sasa Hivi
Hiki ndio kilikuwa kichaka cha jiwe na kundi lake kutafuna hela
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
And its not ATCL only that was robbed. No sector was left untouched. And who is to bare the load? It's me you and very many future generations to come.
Mkuu Erythrocyte , comments nyingine ni unajichumia tuu dhambi bure, zile ndege ni za serikali, ATC inakodishiwa tuu, kwa jinsi ATC ilivyo hoi, haiwezekani mfufuzi huyo huyo akaja kuitafuna pesa ya ATC!. Labda ungesema watu wamepiga pesa kwenye manunuzi, but not kwenye matumizi!.
P
duuh!! bebe paasi mhola,umepiga chenga hapo lakini mpira ukapoteza!!!!Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip , civic education inahitajika sana ndani ya nchi yetu, jifunze kutenganisha chama na watu, sio kila kinachofanywa na watu ni CCM umefanya!. CCM kama chama kinafanya mambo yake ya chama kama chama kingine chochote cha siasa. Kimetengeneza ilani yake, kikainadi, kikakubaliwa kwa kupewa ridhaa na wananchi hivyo kimeunda serikali kuitekeleza ile ilani. Katika utekelezaji, CCM sio mtekelezaji, CCM ni mtazamaji tuu na sio mtendaji, mtendaji ni serikali na msimamizi ni Bunge. Kukifanyika madudu, anayefanya madudu sio CCM, bali mtekelezaji ambaye ni serikali.
Tenganisha CCM kama chama chenye ilani iliyoshinda na serikali ya CCM inayotekeleza ilani, ni vitu viwili tofauti.
P
Jamaa alikuwa na Nyodo huyu henzi za jiwe dah..... kweli malipo hapa hapa Duniani!!Yule Mhandisi Matindi Yupo Wapi Sasa Hivi