Unamaanisha nini mkuu kwa hii comment yako!!..maana ninavyojua mimi HOOD iliwahi kudominate route ya Arusha Dar enzi hizo kabla haijafa na kuna kipindi ilikuwa Arusha to NairobiHapa ni sawa tu na kuuliza ni kwanini basi la Hood lisianzishe Route ya Dar - Arusha, akapambane na wakongwe wa ile njia...
Labda wanatudaiNimeangalia ruti za Shirika letu sijaona Dar-Nairobi, kuna sababu yoyote ya msingi labda ? Kwani hiyo ruti kwa maoni yangu ni nzuri hata kwenye mambo tu ya utalii, mfano kuna mashirika mengi makubwa ya ndege hayatui Dar lkn yanatua Nairobi halafu Kenya airways inaleta abiria mpaka TZ, sasa kwa nini hatuendi huko ?
Jiwe alikuwa na jazba sana ndiyo maana aliikwamisha nchi yetu kwa majirani zetuWanakwenda; hiyo bni ruti ya siku nyingi sana. Inawezekana hawajaiandika kwenye vijitabu vyao vipya lakini ruti hiyo ipo. Ndiyo iliyowahi kusababisha serikali ya Tanzania wakati wa Magufuli ifute leseni ya KQ kutua nchini kwa sababu Kenya walipofungulia ndege za nje kuingia kwao wakaiacha ATCL. Magufuli akipga tit for tat, ikabidi Kenyata aseme basi yaishe wakaifungulia ATCL
View attachment 2286557
Tit for tat. Hakuwa na makosa; jirani yako hawezi kusema wewe usiingie ndani ya nyumba yake lakini yeye anataka aingie ndani ya nyumba yako.Jiwe alikuwa na jazba sana ndiyo maana aliikwamisha nchi yetu kwa majirani zetu