KERO Air Tanzania mmehairisha safari yangu kwa zaidi ya masaa 6 na simu hampokei. Mna shida kubwa kwenye huduma kwa wateja

KERO Air Tanzania mmehairisha safari yangu kwa zaidi ya masaa 6 na simu hampokei. Mna shida kubwa kwenye huduma kwa wateja

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,048
Reaction score
1,424
Air Tanzania mlichonifanyia mmebadilisha safari yangu ya ndege ya saa kumi jion hadi saa tano usiku. Cha kushangaza hamjibu email wala namba yenu ya simu ambayo ni 0748773900.

Simu inaitaa mpaka inakata hakuna wa kupokea! Hivi mmeweka ya nini? Naomba kiongozi yoyote wa serikali ajaribu kupiga hiyo kisha achague 8 kuongea na muhudumu aone kama itapokelewa!
 
It's flight number QEw76D....... Your antetion please.....

Passenger mlalamikaji we are waiting you.... Pls check in ready to 🛫
 

Attachments

  • IMG-20250110-WA0012.jpg
    IMG-20250110-WA0012.jpg
    41.4 KB · Views: 7
  • IMG-20250110-WA0011.jpg
    IMG-20250110-WA0011.jpg
    32.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom