Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa
Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama itasafiri, lakini muhimu zaidi, itasafiri kwa wakati uliopangwa kwenye ratiba. Hii ni kwa sababu, watu hutumia ndege kuwahi mikutano, semina, biashara, kuwahi kwenda kuunganisha ndege nyingine nk nk
Hili linaloendelea la kubadili ratiba mara kwa mara kwa kuchelewesha ndege masaa 2,3,4 nk halina afya kwa shirika na matokeo yake watayaona baada miezi kadhaa hadi mwaka....
Sijui kama wanatambua kuwa, wapo kwenye fragile business ambapo, abiria wanaopanda ndege kwa kiasi kikubwa ni hao hao (80%) ya abiria ni walewale hivyo, ukiwavuruga wana kuhama/wanakuongea vibaya nk nk nk sasa utapataje Abiria?
KWA KUANZIA, WASIMAMIE RATIBA ZA NDEGE KWA GHARAMA YOYOTE ILI WAAMINIKE NDANI NA NJE!