Air Tanzania - online booking haifunguki....

Air Tanzania - online booking haifunguki....

Hili tatizo hata mimi nililishaliona tena siku nyingi nyuma, karibia miaka miwili sasa
 
Naona website ya ndege yetu "The Wings Of Kilimanjaro" haifunguki hivyo mtu hawezi kufanya booking;
Msaada tafadhali?

Naona wamerekebisha, inafunguka sasa
Naamini wanajua kuwa weekend ni busiest time hivyo, wawe wanachunga wajanja wasichukue hiyo gap
 
Back
Top Bottom