I'm alive to the FACT that it takes a lot of effort for you to understand and so let me save it chewed..just for you what team does air tanzania play for, skyteam, star alliance ama you're still in diapers.EXAMPLE a skyteam airline landing at jkia feeds Kenya airways for passengers enroute to further destination.Aliekuelewa unachomaanisha atanisaidia sababu nimesoma zaidi ya mara 5 naona maruweruwe tu
Kipi bora, route chache zitakazoleta faida au route nyingi zitakazoleta hasara [emoji23][emoji23][emoji23]
I'm alive to the FACT that it takes a lot of effort for you to understand and so let me save it chewed..just for you what team does air tanzania play for, skyteam, star alliance ama you're still in diapers.EXAMPLE a skyteam airline landing at jkia feeds Kenya airways for passengers enroute to further destination.
Dah mwaka 2021 hiyo ni kalenda ya wapi?Usifananishe KQ na vitu vya kipuuzi kama Any Time Cancellation Limited(ATCL).
GOOD question that only time can answered.. let's wait and keep on hoping..Hivi wataendelea kubeba waandishi na viongozi ili kupata nyomi? Ni suala la muda tu
A century here I'll take to mean a while. Project mawingu brought kq down, not routes or alliances.Yet kq remains the loss making Airline for almost a century now.
According to youATCL has never made any profit.
The region becomes more and more close, Safi sana ATCL
Nairobi nadhani ipo kwenye plan za mbeleni sana,
Nadhani wameanza kutafuta hizi feeders kwanza, Tukipokea Airbus nyingine mbili na Hiyo Bomberdier na Boeing 787 December tutakuwa kwenye Nafasi nzuri sasa kuanza Flights za Johanesburg, Harare, Lusaka, Entebe, Bujumbura -China/India/Thailand Via Dar es Salaam,
Hapo tutakuwa na customer base nzuri kuanza Dar Nairobi, Adis n.k
Yet kq remains the loss making Airline for almost a century now.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]50+ years on the game, ndege 3 kibindoni
Finacial report yenu naiona jana...mazee si ime make profit walai...kitu imeshoot hadi 120%[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipi bora, route chache zitakazoleta faida au route nyingi zitakazoleta hasara [emoji23][emoji23][emoji23]
According to you
Hta kulingana na jiwe piaAccording to you
Hahahah usiwaumbue sanaDah mwaka 2021 hiyo ni kalenda ya wapi?
Kwani umelazimishwa kupanda au unawashwaNaenda JB mwezi August..sipakii upumbavu wa ACTL!
Heri ntaenda kwa bus Nairobi then nichukue KQ au niende Kigali ndio niende JB!
Mavi ya ATCL na mindege ya chama cha kijani!
Rekebisha hapo iwe, route chache na ndege chache zinazoleta hasara kubwa.Kipi bora, route chache zitakazoleta faida au route nyingi zitakazoleta hasara [emoji23][emoji23][emoji23]
Rekebisha hapo iwe route chache na ndege chache zinazoleta hasara.