Air Tanzania sinking in massive losses

Air Tanzania sinking in massive losses

Mwendo Safi

Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
56
Reaction score
84
Air Tanzania was launched not out of necessity but to just to flex its muscle and try show Kenya that they too can own and operate an airline. Now reality is setting in that operating an airline isn't like running a BRT. The same fate will just hit Tanzanian SGR. Welcome to the world of losses.

A report of the year 2017/2018 Air Tanzania Company Limited (ATCL) has been mention among the Tanzanian companies making huge losses as indicated in the table below.

e5afef3572fe40d4a74f4b01570c9c06

f5af3c51a1099b97732db4f62467648b

ATCL is bankrupt, the organization is in debt up to the eyelids. Is also not clear whether the the planes are owned by ATCL or TGFL and leased to Air Tanzania just for business. Air Tanzania since it's conception has not gotten it right on the global Aviation stage for upto now. Maybe it's management or the model under which it operate is not conducive for its operations.
 
Kweli nyani haoni kundule....unashindwa pigia kelele Kenya airways unakuja huku...Kwanza ntajie Kampuni ya ndege hata ulaya iliyoingiza faida kipindi Cha covid nkueleze kua air Tanzania haiukuanzishwa kibiashara..Bali kupushi utalii wa ndani ndo maana ndege Ni za mhifadhi mkuu was serikali....tupo radhi poteza few millions to gain more billions kwe utalii nyang'au wewe
 
Mtaumia sana. ...... kitu kimoja tofauti na kunyaland airways ni kwamba air Tanzania owns it's own Aircraft. Anything that it own is to that citizens of Tanzania who would gladly forgive and forget. Sio kama nyie mazungu owns all the aircraft. What you own is shitty old planes worth nothing ....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukizingatia shirika lenyewe lipo kwenye nchi maskini, inauma sana kwanini walijitutumua na kuangukia pua, yaani pole zao.
 
Kettle calling pot black.

Kuna mengine ukiwa maskini usijitutumue sana, leo hii kwenye kampeni mumeshindwa kueleza kwanini mlihangaika kununua mindege ambayo haijabadilsha chochote, huku mkitelekeza mambo mengi sana ya maana.
 
Kuna mengine ukiwa maskini usijitutumue sana, leo hii kwenye kampeni mumeshindwa kueleza kwanini mlihangaika kununua mindege ambayo haijabadilsha chochote, huku mkitelekeza mambo mengi sana ya maana.

haijabadirisha chochote!!!![emoji28][emoji28].

ulitaka ikubadirishie ratiba ya kwenda chooni ndipo uone mabadiriko??sikitikia KQ kwanza ndipo uifikirie ATCL.
 
Kuna mengine ukiwa maskini usijitutumue sana, leo hii kwenye kampeni mumeshindwa kueleza kwanini mlihangaika kununua mindege ambayo haijabadilsha chochote, huku mkitelekeza mambo mengi sana ya maana.
Kikwete alisema ukiona adui yako anakulaumu kwa kufanya Jambo flani na kukushauri jengine ujue unapatia....HV kwani hatujui nyie nyang'au mlivyo sabbotage air Tanzania na precisiona Air kuokoa ujing wenu...Hadi mkawa mnachewesha ndege za mizigo za klm , Turkish airlines na freighter nyengine zikija Nairobi from Tanzania halafu mizigo ikiharibika ziishie kwenu....Magu kashawaotea na Sasa maharage na nyama zetu tutaanza peleka wenyewe nje....nyie endeleeni peleka zao lenu la biashara la mirungi nyie wakora
 
haijabadirisha chochote!!!![emoji28][emoji28].

ulitaka ikubadirishie ratiba ya kwenda chooni ndipo uone mabadiriko??sikitikia KQ kwanza ndipo uifikirie ATCL.
Nyinyi mnaposikitia KQ na kuleta ripoti mbalimbali kuhusu namna inavyopata hasara huwa mnafikiria kuhusu ATCL? Wewe ndio yule nyani asiyeona kundule
 
haijabadirisha chochote!!!![emoji28][emoji28].

ulitaka ikubadirishie ratiba ya kwenda chooni ndipo uone mabadiriko??sikitikia KQ kwanza ndipo uifikirie ATCL.

Mlijikanganya sana kwenye mindege, ilipaswa mtafune kwa urefu wa kamba yenu kwenye level yenu, hii aibu kwa kweli.
 
Mlijikanganya sana kwenye mindege, ilipaswa mtafune kwa urefu wa kamba yenu kwenye level yenu, hii aibu kwa kweli.

wewe huwezi kuwa unasikitishwa na tz,ilili kukuthibitishia tunaongeza nyingine.
 
Imesema inauma sana? Inamuuma nani sasa. Au matumiz ya kiswahil hujui..ikuume wewe au? Au umeishiwa maneno tukufundishe. Maana moyo wako unaonekana ulivo na chuki kubwa kwa majirani zako sasa usiseme inauma kama vile unajali sana....afu kingine unachotakiwa kuulazimisha ubongo wako hadi ukubali ni hiki.. TANZANIA SIO MASIKINI. ila kwa vile ukisema mabaya ya jirani zako unapunguza stress basi endelea kupunguza ucje kufa mapema.
Eti Tanzania sio nchi masikini??? 😂 😂 😂. Kwa hivyo wewe uko na uelewa kushinda mashirika ya kimataifa yanayoorodhesha Tanzania katika kundi la mataifa masikini?? Udanganyika ni ugonjwa usiokuwa na tiba!
 
Nyinyi mnaposikitia KQ na kuleta ripoti mbalimbali kuhusu namna inavyopata hasara huwa mnafikiria kuhusu ATCL? Wewe ndio yule nyani asiyeona kundule

wewe ndio kundule mwenyewe sasa.

kwani KQ si ni kampuni kubwa sana[emoji23][emoji23]au leo iko sawa na ATCL!!!
 
Kikwete alisema ukiona adui yako anakulaumu kwa kufanya Jambo flani na kukushauri jengine ujue unapatia....HV kwani hatujui nyie nyang'au mlivyo sabbotage air Tanzania na precisiona Air kuokoa ujing wenu...Hadi mkawa mnachewesha ndege za mizigo za klm , Turkish airlines na freighter nyengine zikija Nairobi from Tanzania halafu mizigo ikiharibika ziishie kwenu....Magu kashawaotea na Sasa maharage na nyama zetu tutaanza peleka wenyewe nje....nyie endeleeni peleka zao lenu la biashara la mirungi nyie wakora

Kazi yenu kulia lia sabotage, nani aliyewatuma mtumie hela ya walipa kodi maskini kununua mindege cash, mtalia sana pole zenu. Biashara ya ndege kwa nchi mskini kama Tanzania haipaswi mtunishe msuli sana, mtajikuta mkiangukia pua.
Nyie hunikumbusha ule wimbo wa Diamond wa zilizopendwa, kuna jamaa mwembamba huonyeshwa humo akitafuta ugomvi na yule bouncer wa Diamond...hehehe namna hunyanyuliwa.
 
wewe ndio kundule mwenyewe sasa.

kwani KQ si ni kampuni kubwa sana[emoji23][emoji23]au leo iko sawa na ATCL!!!
Kwa hivyo ATCL iliazinshwa jana?? Midanganyika hazikosi vijisababu
 
Back
Top Bottom