Ni uvivu wa kufikiri na kushindwa kuwatumia na kuheshimu ushauli wa wataalamu wa ndani. Shida kidogo ikitokea tunafikiria kumpe mtu mweupe badalaya kujiuliza tatizo ni nini na nini kifanyike. Matatizo yapo kote hata ulaya wanakumbana na vitu kama hivi ila wenzetu ikishakuwa hivyo wataalamu wanapewa nafasi ya kutambua tatizo nakutoa mwelekeo. Kibaya zaidi watu weusi ndio wamekuwa wakifanya kazi hizi kwaufanisi mkubwa sana ulaya. Kweli nabii mwenye ngozi nyeusi hakubaliki nyumbani.