Haya tutajie faida ya Mboe kuuza ngadaMwalimu Wangu Aliniambia Hatoi Heshima Kwa Kampuni Yeyote Kwa Makusanyo au Mapato Sababu Hiyo Siyo Lengo la Biashara.
Lengo la Biashara Yeyote ni Faida Kama Hujataja Faida Unakuwa Hujamweleza Kitu Chochote.
Mwisho wa Kunukuhu
Ila ivyo vindege vinapiga sana kelele, ila route ziongezwe ili kuongeza faida zaidiHaya tutajie faida ya Mboe kuuza ngada
Mkuu unakataa kwani wewe ni muhasibu au auditor wa ATCL? Cha ajabu ni kipi kama nauli ya mtu mmoja ni kati ya laki 1 hadi 2?Mjinga tu ndiye ataamini kwamba habari hii ni ya kweli katika hali ya nchi tuliyonayo
Mjinga ni yule anaebisha data kwa kudhaania bila ya kufanya utafitoMjinga tu ndiye ataamini kwamba habari hii ni ya kweli katika hali ya nchi tuliyonayo