Air traffic management officer11

Air traffic management officer11

wizy

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
4,193
Reaction score
10,440
Habari za mchana wana jamii.

Naomba mwenye kujua maswali yanayoulizwa kwenye interview na utumishi ,kwa nafasi ya air traffic management officer 11
 
kusoma sio ishu ila muongozo naamini humu kuna watu walishaomba au wanafanya kazi hiyo kwahiyo wanaweza kunisaidia maswali hasa waliyokutana nayo
 
Habari za mchana wana jamii.

Naomba mwenye kujua maswali yanayoulizwa kwenye interview na utumishi ,kwa nafasi ya air traffic management officer 11

Kama ulielewa vzur darasan na field bas huez kufel
 
Back
Top Bottom