W wizy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 4,193 Reaction score 10,440 Aug 1, 2020 #1 Habari za mchana wana jamii. Naomba mwenye kujua maswali yanayoulizwa kwenye interview na utumishi ,kwa nafasi ya air traffic management officer 11
Habari za mchana wana jamii. Naomba mwenye kujua maswali yanayoulizwa kwenye interview na utumishi ,kwa nafasi ya air traffic management officer 11
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 7,845 Reaction score 16,942 Aug 1, 2020 #2 Hujasoma?
W wizy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 4,193 Reaction score 10,440 Aug 1, 2020 Thread starter #3 kusoma sio ishu ila muongozo naamini humu kuna watu walishaomba au wanafanya kazi hiyo kwahiyo wanaweza kunisaidia maswali hasa waliyokutana nayo
kusoma sio ishu ila muongozo naamini humu kuna watu walishaomba au wanafanya kazi hiyo kwahiyo wanaweza kunisaidia maswali hasa waliyokutana nayo
M Mkerewe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 345 Reaction score 347 Aug 1, 2020 #4 wizy said: Habari za mchana wana jamii. Naomba mwenye kujua maswali yanayoulizwa kwenye interview na utumishi ,kwa nafasi ya air traffic management officer 11 Click to expand... Kama ulielewa vzur darasan na field bas huez kufel
wizy said: Habari za mchana wana jamii. Naomba mwenye kujua maswali yanayoulizwa kwenye interview na utumishi ,kwa nafasi ya air traffic management officer 11 Click to expand... Kama ulielewa vzur darasan na field bas huez kufel
winlicious JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,006 Reaction score 1,151 Aug 2, 2020 #5 Ni pm